Aliyeshinda kura za Maoni CCM afikishwa Mahakamani

SINGIDA: 


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Singida Kaskazini(kabla ya kufutwa), Haider Gulamali kwa tuhuma za kutoa Rushwa.

> Bwana Gulamali aliibuka kidedea kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi ili kusaka nafasi ya kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Lazaro Nyalandu aliyetimkia CHADEMA

Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida amesema mtuhumiwa huyo amefikishwa mahakamani tayari


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo