Suala la Kijiji cha Ilindiwe wilaya ya Makete mkoani Njombe kupata zahanati waliyoijenga na kukamilika miaka mitano iliyopita, limeibua furaha kwa wakazi wa kijiji hicho
Zahanati hiyo imeanza kutumika Rasmi kuanzia Novemba 11, mwaka huu na tazama video hii:-
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube