Video: Maiti nyingine Yaokotwa Ufukweni Dar ikiwa kwenye mfuko

Maiti ya mtu asiyejulikana imeokotwa ufukweni mwa bahari ya Hindi ikiwa imewekwa kwenye mfuko wa sandarusi maarufu kama kiroba au kisalfeti

Taarifa hii imeripotiwa na gazeti tando la Mtanzania kama inavyoonekana hapa chini katika hii video:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo