Gari ya Mkti wetu wa Wazee imepigwa mawe na kuvunjwa kioo wakati anatoka kwenye mkutano wa Diwani , mida hii ya saa moja jioni . Ni tukio la nne viongozi wetu kuvamiwa na Polisi kutokuchukua hatua yoyote. Time will telll pic.twitter.com/Y4ruTZKunJ— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) November 15, 2017
Gari la Mwenyekiti wa wazee Chadema Arusha lapigwa Mawe
By
Edmo Online
at
Wednesday, November 15, 2017