Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) linakuarifu kuwa kutokana na kuboresha urushaji wa matangazo kwa mfumo mpya wenye ubora zaidi kwa njia ya setelite. kwa wale wanaokosa matangazo baada ya kuwashwa kwa mtambo huo, wanapaswa kuzima na kuwasha tena visimbuzi vyao (retune recever) ili kupata tena matangazo ya tbc 1 na TBC 2 kwa ubora zaidi.
Shirika linakutakia utazamaji mwema wa matangazo yake katika ubora zaidi.
