Rais Dkt John Magufuli amesema magari ya polisi yaliyopo baharini kwa nini yakae miaka zaidi ya miwili bandarani
Amesema huo ni uozo unaoendelea bandarini lakini ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama hasa kuchunguza kuna nini mpaka magari hayo yakae bandarini hapo kwa muda mrefu, magari ambayo yamenunuliwa kwa fedha za walipakodi waananchi masikini
Amewataka mawaziri hasa wa fedha na mipango, waziri wa mambo ya ndani, na waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano wawe na mawasiliano na hapendi suala hilo lijitokeze tena kwa mara nyingine