Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu amesema hali ya upepo wa kisiasa katika mkoa wa Singida imebadilika na kuhamia Chadema hivyo kuitaka CCM kuacha vitisho
Ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter amesema CCM iache vitisho na kuruhusu uhuru wa kweli katika siasa
Angalia alichokisema hapa chini:-
MKOA wa Singida upepo umehamia Chadema. CCM iache vitisho na kuruhusu uhuru wa kweli katika SIASA #Movement4Change— Lazaro Nyalandu (@LazaroNyalandu) November 14, 2017