#DewjiBlogLive:"Sikuja kuuza sura nilipendwa na mke wangu anatosha, sihitaji kupendwa"-Rais Dk. John Pombe Magufuli pic.twitter.com/DJzcaQ28n8— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 3, 2017
#DewjiBlogLive:"Nimechaguliwa kuwaabisha wale waliokuwa wamezoea kuiba hela"- Rais JPM— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 3, 2017
"Tuna mabenki zaidi ya 50 yote yalikuwa yakifanya biashara na serikali , nikasema serikali yangu sio ya kufanya biashara na mabenki"- JPM— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 3, 2017
#DewjiBlogLive:"Watu wengi wanaolalamika sasa ni wale waliokuwa wananufaika kwenye mfumo wa zamani- Rais JPM— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 3, 2017
#DewjiBlogLive:"Kama kweli tunahitaji maendeleo, maendeleo hayaji kirahisi, maendeleo sio lele mama"- Rais JPM— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 3, 2017
Magufuli: Hivi sasa pesa zikitoka Hazina zinaenda mahali husika Mf. Halmashauri moja kwa moja— Jamii Forums (@JamiiForums) October 3, 2017
- Hakuna mtu kuchezea pesa zisizo zake#JFLeo
Rais Magufuli: Aliyekuwa akilipwa mishahara hewa na posho hewa, hawezi akafurahia hatua tulizozichukua. #MkutanoAlat— East Africa Radio (@earadiofm) October 3, 2017
