Kauli ya Rais Magufuli kuwa hakuja kuuza sura, alipendwa na mkewe inatosha imeonekana kuwapendeza baadhi ya watu
Mmoja wapo ni Munge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ambaye ameshindwa kujiuzia na kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter, angalia hapa chini:-
"Sikuja kuuza Sura hapa nilipendwa na mke wangu"By JPM Alat— Hussein M Bashe (@HusseinBashe) October 3, 2017
Nimeipenda hiiii
Rais Magufuli: Hata wasiponipenda mimi sijali, nikipendwa na wananchi inatosha, nikipendwa na mke wangu inatosha. #MkutanoAlat pic.twitter.com/8MldjeUZ4F— East Africa Radio (@earadiofm) October 3, 2017
