Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita nilizaliwa kijijini Msoga, Pwani. Namshukuru Mungu kwa rehema zake, umri mrefu na afya njema.
Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita nilizaliwa kijijini Msoga, Pwani. Namshukuru Mungu kwa rehema zake, umri mrefu na afya njema.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) October 7, 2017
Happy Birthday Kiongozi, Mzazi na Rafiki. Mungu akutunze na kukupa afya njema! Tunakupenda! pic.twitter.com/gGF0OjKhZJ— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) October 7, 2017
Mungu amekupa Umri na Hekima uendelee kufanya kazi yake duniani. Nakuombea kheri kubwa unaposherehekea umri mpya. Happy Birthday Dad Jaykay pic.twitter.com/mPq6kJeUqR— Kikwete Ridhiwani J. (@ridhiwankikwete) October 7, 2017
Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita, Rais Mstaafu wa Tanzania, @jmkikwete alizaliwa huko Msoga mkoani Pwani.— Jamii Forums (@JamiiForums) October 7, 2017
Heri ya kuzaliwa Mheshimiwa! pic.twitter.com/HhLwDj4vir
#DewjiBlogNews Tarehe kama ya leo Okt 7 mwaka 1951 Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa. pic.twitter.com/fsCOlxKgyf— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) October 7, 2017
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu Dk. @jmkikwete .Ile ishu naikamilisha soon nitakushtua. 😅 pic.twitter.com/D3jtYwVh8Y— Masanja (@mkandamizaji) October 7, 2017
Happy Birthday Mwanakijji wa Msoga @jmkikwete— Suleiman Mfua (@MfuaSuleiman) October 7, 2017
Allaha azidi kukujaalia Hekima, Busara na Umri mrefu zaidi pic.twitter.com/lVzkdFekCd
Hongera sana mzee wa watanzania. pic.twitter.com/OwwLMnRXWM— Declopa Kintakunte (@de_clopa) October 7, 2017