Lazaro Nyalandu apongezwa

Baada ya kujitangaza kupitia vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu kujiuzulu  nafasi zake za uongozi ikiwa na ya Ubunge, wananchi mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii wamempongeza  Nyalandu kuhusiana na maamuzi hayo huku wakimtaja kiongozi huyo kama shujaa kwa maamuzi aliyofanya. 

Kupitia katika ujumbe huo wa kujiuzulu uliowekwa na kiongozi huyo wananchi wengi wamemsifu kwamba ameauchagua  upande wa haki. 
Hata hivyo baadhi ya maoni wananchi wamemuandikia Nyalandu kwamba ameilinda na kuitunza Katiba kwa kuwa mkweli kwa wanaokwenda kinyume na katiba na pia wameahidi kwamba wanamuunga mkono.
Fuatilia hapa chini baadhi ya maoni ya wananchi kwenye ukurasa wa Mbunge Nyalandu 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo