Picha: Zitto afikishwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amefikishwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kufuatia kutoa kauli za kulidhalilisha Bunge.
Zitto alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere akitokea Kigoma na kusafirishwa mpaka Dodoma akiwa chini ya ulinzi wa polisi.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo