Taarifa iliyotolewa na Bunge imesema kuwa jumla ya fedha milioni 43 zilizochangwa na wabunge zilitumwa moja kwa moja kwenye akaunti ya benki ya Hospitali ya Nairobi toka Septemba 20, 2017.
Bunge: Tumeshatuma Fedha za Matibabu ya Lissu
By
Edmo Online
at
Friday, September 22, 2017
