Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amesema kama wawekezaji waliobinafsishiwa viwanda na hawakuviendeleza kwa kisingizio kuwa vina teknolojia ya zamani, wangeviachia viwanda hivyo
Rais Magufulli ameyasema hayo Mkoani Tanga hii leo wakati akihutubia kabla ya kufungua kiwanda cha Kujenga saruji cha Kilimanjaro, ambapo kauli hiyo ameitoa ikionekana kujibu kauli ya Freeman Mbowe aliyosema wiki iliyopita kuhusu kuwanyang'anya viwanda wale wote waliobinafsishiwa na wakashindwa kuviendeleza
Msikilize Rais Magufuli kwa kubonyeza Play hapo chini:-
