Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ndulamo Bw. Majuto Mbwilo akizungumza na Mwandishi wetu.
Muonekano wa zahanati ya Ndulamo
;;;;;;;;;;;;;;;;;
Akizungumza na kituo cha Redio Green FM Afisa mtendaji wa kijiji hicho
Majuto Mbwilo amesema halmashauri imewapatia mradi wa ujenzi wa nyumba ya
mganga hivyo wananchi tayari wamenza kushirikiana na serikali kuhakikisha
nyumba hiyo inajengwa
Afisa mtendaji huyo amesema kwa kuwa wananchi wake ni
wapenda maendeleao anaimani ujenzi wa nyumba hiyo ya mganga ambao unahitaji
nguvu za wananchi pia, wananchi wake wapo tayari kwa utekelezaji wa suala hilo
Hata hivyo ametoa wito kwa wananchi wake kuhusu ujenzi
huo, Bonyeza Play hapo chini usikilize sauti zake hapo:-