Leo ni maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani, kwa wilaya ya Makete maadhimisho hayo yamefanyika kata ya Mang'oto kijiji cha Mang'oto wilaya ya Makete mkoani Njombe
Pamoja na yote aliyofanya Mgeni Rasmi Eliab Simba kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Makete, ni pamoja na kuongoza zoezi la kukata miti isiyo rafiki katika chanzo cha maji Mang'oto
Bonyeza Play hapo chini ujionee ilivyokuwa:-