Wakati taifa likitilia mkazo utunzaji wa mazingira
kufuatia kuharibika kwa mazingira katika maeneo mbalimbali hapa nchini,
Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wameagizwa kuzingatia utunzaji wa
Mazingira
Hayo yamebainika hii leo wakati wa maadhimisho ya siku ya
mazingira duniani ambayo kiwilaya yamefanyika katika kata ya Mang'oto wilayani
Makete
Katika Maadhimisho hayo mgeni rasmi pamoja na wageni
mbalimbali alioongozana nao walishiriki zoezi la kukata miti ya kigeni
iliyopandwa kwenye chanzo kimoja cha maji katika kijiji cha Mang'oto, kama
ishara ya kutunza vyanzo vya maji visiharibiwe na miti isiyo rafiki na
mazingira
Zaidi Bonyeza play hapo chini Kusikia kilichojiri Mwanzo Mwisho kama kilivyoripotiwa na kituo cha redio Green Fm 91.5 >>>>>>
Zaidi Bonyeza play hapo chini Kusikia kilichojiri Mwanzo Mwisho kama kilivyoripotiwa na kituo cha redio Green Fm 91.5 >>>>>>