Zikiwa zimesalia siku chache kufikia Aprili 25 mwaka huu ambapo nis siku ya Klabu ya Simba kufanya maandamano yake, baraza la wadhamini la Klabu hiyo limepinga hatua hiyo
Baraza hilo limesema lenyewe haliungi mkono maandamano hayo, na badala yake wao nasubiri kuona matokeo ya maandamano hayo
Mwenyekiti wa baraza la wadhamini Mzee Hamisi Kilomoni amesema yeye hayumo katika hayo maandamano, kama alivyokuwa akizungumza kupitia kipindi cha E-Sport cha 93.7 EFM
Bonyeza hapa chini umsikilize alivyofunguka>>>>>>