Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jamhuri Deodatus Balile amemuomba Rais Dkt John Magufuli kuvisaidia vyombo vya habari kuleta uzalendo
Balile ameyasema hayo leo wakati akizungumza katika Kipindi cha Kipimajoto kinachorushwa na ITV, ambapo amesema uzalendo unashuka kwa taifa huku pia akiona kuwa uzalendo wa taifa hauwezi kuletwa na vyombo vya habari pekee, bali ni kila Mtanzania
Sikiliza sauti hii hapa