Nape Aibuka Tena leo, Aongelea taarifa zinazomuhusisha yeye na Kinana

Moja kati ya taarifa zilizosambaa leo katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Abdularahman Kinana kuwa ataongea na vyombo vya habari saa nne asubuhi ofisi ndogo ya chama cha CCM Lumumba Dar es Salaam.
Taarifa hizo hazikuwa za kweli lakini uvumi ukaendelea kuenezwa kuwa Kinana amekatazwa kuongea na waandishi, taarifa ambazo sio za kweli pia huku ikionekana account fake ya Mbunge wa Mtama ambaye ameondolewa katika uwaziri Nape Nnauye ndio kaandika katika twitter account yake.

Hii akifafanua kuhusu ujumbe uliyoenezwa kuwa kamuandikia Kinana
Nape Nnauye ametumia ukurasa wake rasmi wa twitter kueleza kusikitishwa kwake na watu wanaozusha taarifa hizo zenye lengo la kumchafua kuhusu katibu Mkuu wa CCM KinanaNape ameandika kuwa hajaandika taarifa hizo zinazomuhusu Kinana.

Kutoka katika twitter ya Nape kuwa ujumbe huu sio wa kwake


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo