Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye amehamishiwa mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akikabidhi pikipiki mpya kwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere (mwenye suti nyeusi) kutokana na wilaya hiyo kufanya vizuri kwa kufanikisha wananchi wake kujiunga na mfuko wa afya ya jamii CHF kwa zaidi ya asilimia 70. Tukio hilo limefanyika Desemba 7 mwaka huu
Dkt Nchimbi akisalimiana na mwenyekiti wa halmashaui ya wilaya ya Ludewa
Mkuu wa wilaya ya Ludewa akiikabidhi pikipiki hiyo
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Njombe kabla ya kuhamishiwa mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akitoa maagizo kuhusu pikipiki hiyo