Bibi harusi Giveni Mgaya akisaini kwenye cheti cha ndoa mara baada ya kula kiapo cha uaminifu bada ya kufunga ndoa na Samwel Mwakalobo kwa mara ya [ili baada awali bwana harusi aliingia mitini katika kanisa la KKKT Isanga jijini Mbeya kulia ni Mchungaji wa kanisa hilo Mathius Mwaijungu
Bwana harusi aliyeingia mtini Samwel Mwakalobo akisaini kwenye cheti cha ndoa baada ya kufunga ndoa na Given Mgaya katika kanisa la kiinjili kiludheli Tanzania KKKT, Usahrika wa Isanga jijini Mbeya
Maharusi Samweli Mwakalobo na Bibi Harusi Mgaya,wakiteta jambo ndani ya kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania KKKT usharika wa Isanaga wakitetea jambo mara baada ya kula kiapo cha uaminifu bada ya kufunga ndoa kwa mra ya pili baada ya awali kuingia Picha na kenneth Ngelesi