AUDIO: Nyumba mbili zaungua kwa moto Mburahati, Dar,

Usiku wa Alhamisi ya Novemba, 3 kumeripotiwa kutokea moto katika eneo la Mbulahati, Dar es Salaam kwa nyumba mbili kuungua kwa moto baada ya kutokea hitirafu ya umeme katika moja ya nyumba hizo na baadae moto kuhamia nyumba nyingine ambayo ilikuwa na duka la kuuza majiko ya gesi.
Wakizungumza na Clouds Fm mashuhuda wa tukio hilo wamesema nyumba moja imeungua yote bila kitu chochote kuokolewa baada ya Jeshi la Zimamoto kuchelewa kufika eneo la tukio wa ajili ya kuzima moto kabla haujawa na athari kubwa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo