Gazeti la Tanzania Daima katika habari zake leo 31.10.2016 kuna habari hii kuhusu yule Mkurugenzi aliyempigisha deki mwalimu kisa darasa chafu,leo Mkurugenzi huyo huyo kaja na Kali nyingine ya Kuwapigisha deki Chooni walimu, Iangalie hapa chini
Mkurugenzi Yule yule aongeza Adhabu, Awapigisha Deki walimu Chooni
By
Edmo Online
at
Monday, October 31, 2016