Diwani wa kata ya Tandala na mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya kata hiyo KAMAKA Mh Egnatio Mtawa (Kulia) akipokea nyaraka zote za umiliki wa pikipiki iliyotolewa kwa kata hiyo kama Tuzo na mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi kutokana na wanufaika wote wa TASAF III walioko katika kata hiyo wote wameunganishwa na mfuko wa afya ya jamii CHF kwa asilimia 100
Picha ya pamoja ya Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akiwa na viongozi wa vijiji vyote vya kata ya Tandala
Tuzo ya pikipiki iliyotolewa na Mkuu wa mkoa kwa kata ya Tandala





