Hukumu ya kunyongwa hadi kufa yatolewa kwa wauaji wa Albino Bukoba

Mahakama kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa Pankras Minago na Lameck Bazil baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua kwa kumchoma na vitu vyenye ncha kali na kunyofoa baadhi ya viungo vyake mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrew aliyeuawa September 21 2008.
Hukumu hiyo iliyotolewa na jaji Firmin Matogolo ni ya kwanza katika mahakama kuu kanda  ya Bukoba dhidi ya washtakiwa wa makosa ya mauaji ya watu wenye ualbino. Unaweza kuangalia video hii hapa chini kwa hisani ya Azam TV.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo