Waziri Mkuu na Spika Job Ndugai Wakutana kujadili maridhiano ya Vyama Vya Siasa

Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo kesho September 6 2016 leo Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma kwa lengo la kufanya kikao cha maridhiano ya vyama vyote.

Hapa kuna picha tano  wakati wa majadiliano hayo yalipokuwa yakifanyika..


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo