VIDEO: Lissu amjibu Lipumba kuwa CHADEMA inaiua CUF

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Prof. Ibrahimu Lipumba jana wakati akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM alisema hatakuwa tayari kuona CUF ikinunuliwa na Lowassa au CHADEMA hata kama atakuwa nje ya chama hicho.

Leo September 9 2016  Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu, moja kati ya swali ambalo amelijibu kutoka kwa waandishi wa habari ni la madai ya Prof. Lipumba kuwa CHADEMA njama ya kuiua CUF, Lissu amejibu kuwa…….

>>>>‘Anaposema CHADEMA ina njama ya kuibomoa CUF takwimu za kuangalia ni hali ilikuaje kabla ya UKAWA na baada ya UKAWA,……Prof. Lipumba kama mwenyekiti mwenza wa UKAWA alimpokea Edward Lowassa kama mgombea urais wa UKAWA akakaa mwezi mzima, halafu baadae ndio nafsi yake ikamsuta akaenda Rwanda’


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo