Mwandishi wa habari na mtangazaji wa vituo vya ITV/Radio One/Capital Radio Othman Suleiman maarufu kama Brother Ochu, hivi karibuni amefunga pingu za maisha maarufu kama ndoa na Mwanadada Mrembo Hafidha Saidi, ndoa iliyofungwa jijini Dar es Salaam
Brother Ochu amekuwa akitangaza vipindi mbalimbali vya Capital Redio vikiwemo kipindi cha Daladala, Buzuki Time, The Sunday Hali Halisi N.k
MUNGU mwenye wingi wa Rehema awasimamie katika ndoa yenu iwe ni ya kumpendeza yeye na iwe na baraka tele
Eddy Blog Team inawatakia kila la heri Brother
Angalia Picha hizi hapa chini




