Majonzi Bukoba, Waliokufa kwa tetemeko waagwa, Waziri Mkuu ashiriki, Angalia Picha hizi

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo ameongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi lililotokea jana mkoani Kagera.

Zoezi hilo la kuaga miili limefanyika katika Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini mkoani Kagera.
Jumla ya watu 16 wamefariki dunia huku zaidi ya 200 wakijeruhiwa.
Zifuatazo ni picha za waombolezaji pamoja na miili ya waliopoteza maisha ikiwa Uwanja wa Kaitaba;tetemeko-5tetemeko-6tetemeko-7tetemeko-8tetemeko-9tetemeko-10tetemeko-11
tetemeko-2tetemeko-3
Picha kwa hisani ya Bukoba Wadau 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo