Mabibi na mabwana naomba mchukue dakika hizi chache kutazama video hii ya Ng'arisha ya Msanii kutoka Mkoani Njombe ajulikanaye kama Addy Ng'ari akiwa ameshirikianana Nas B, Naimani utaipenda, karibu sana
Angalia Video hii Matata kutoka kwa Addy Ng'ari Ft Nas B - Ng'arisha
By
Edmo Online
at
Friday, September 09, 2016
