skip to main |
skip to sidebar
TCRA imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizo na maadili na kuzifungia
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imepokea majina ya 15 ya nyimbo kutoka BASATA ambazo vyombo vya habari hazitapiga nyimbo hizo kutokana na kukiuka maadili na kanuni za huduma za utangazaji ya mwaka 2005.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi