Video: Vijana wawili wa CHADEMA wakamatwa kwa kudaiwa kueneza ujumbe wa kichochezi

Vijana wawili wa CHADEMA huko Mbeya wameamatwa na Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kudaiwa kusambaza ujumbe wa kichochezi kwa kutumia simu.

Vijana hao ni Moses Ezekia Mwaifumba ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya na mwenzake Meshack Yohana Mgaya mwenye umri wa miaka 28 ambaye polisi wamedai alikuwa anashirikiana na mtuhumiwa huyo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo