Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ametuma salamu kwa
vyama vya upinzani akivitaka kutii mamlaka kwani kiberiti wanachotaka
kukitingisha sasa hivi ni cha gesi, waangalie kisije kikawalipukia.
angalia video hii hapa chini
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube