Katika muendelezo wa kutafuta timu ya wilaya ya Makete, kata ya Luwumbu wilayani hapa Imekamilisha kazi ya kuipata timu ya kata, na leo Jumapili kimetangazwa kikosi cha timu ya Kata kilichotangazwa na Afisa mtendaji wa kata hiyo
Benk ya Crdb tawi la makete imeunga mkono kwa kutoa mipira miwili na shilingi elfu hamsini
Hapa chini kuna video mbili ziangalie