skip to main |
skip to sidebar
Audio: Mkuu wa Wilaya ya Makete atangaza Bomoabomoa
Wilaya ya Makete mkoani Njombe muda wowote kuanzia sasa itakumbwa na oparesheni iliyopewa jina "bomoabomoa" kwa ajili ya kuondoa miti ya mbao katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kilimo cha mazao Ya chakula
Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Veronica Kesi ambapo amesema katika kipindi chake cha uongozi kama mkuu wa wilaya hatarajii njaa itokee Makete, hivyo kwa kuwa maeneo hayo yamevamiwa na watu waliopanda miti ya mbao, atashirikiana na watendaji akiwemo afisa kilimo kuhakikisha miti hiyo inaondolewa
Amesema tayari amekwisha zungumza na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete na watendaji wengine kuhakikisha zoezi hilo linatekelezeka kwa lengo la kunusuru Njaa isiingie Makete
SIKILIZA SAUTI HAPA CHINI
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi