Picha 13 za Naibu Spika akiosha Magari mjini Dodoma

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima (Media car wash) iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma ambapo alichangia shilingi milioni tano.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima ya Afya (Media car wash) iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Hamis Dr. Hamisi A. Kigwangalla


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo