AJALI: Gari dogo la abiria lagonga trekta kwa nyuma jijini Arusha, mmoja afariki

Katika Eneo la Chuo Cha Nelson Mandela Arusha, usiku wa kuamkia leo, Gari dogo la abiria(van) limeligonga trekta kwa nyuma.

Mtu mmoja amefariki na kadhaa kujeruhiwa. ImageUploadedByJamiiForums1466927383.537738.jpgMatrekta yasiyo na taa yanadaiwa kuwa tatizo kubwa kwa wakazi wa Arusha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo