Mkuu wa mkoa wa Njombe DKT REHEMA NCHIMBI ametoa wito kwa watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Makete kwamba kwa mtumishi yeyote atakae hama kwa hila wilayani Makete hatafanya kazi sehemu yoyote na atatumbuliwa huko huko aliko
Sikiliza sauti hapa chini
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi