Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari
aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya
majeraha yaliyompata
Wafuasi wa CORD jana waliandamana kushinikiza kuundwa upya kwa Tume ya Uchaguzi (IEBC)
==> Tazama video ya Kipigo

