Mbunge wa Makete Prof Sigalla
Mbunge Prof Sigalla
Mbunge Prof Sigalla
Hatimaye Serikali imetoa kauli bungeni kuhusu ni lini itajenga kwa kiwango cha lami Barabara kutoka Njombe hadi Makete
Hii inafuatia swali lililoulizwa na Mbunge wa Makete Mh Prof Noman Sigalla kwa wizara ya ujenzi uchukuzi na mawasiliano
Sikiliza sauti ya Naibu waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mh Edwin Ngonyani wakati akijibu swali hilo kwa kubonyeza play hapo chini