Picha zote za Upandaji Miti chanzo cha maji Masisiwe Makete

 Mwenyekiti wa halmashaur ya wilaya  ya Makete Mh Egnatio Mtawa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho  ya wiki  ya maji akipanda mti katika chanzo cha maji Masisiwe 
 Wadau wakijadili jambo baada  ya kupanda miti
 Maji  yakikielekea kwenye chanzo 

 Diwani wa UKWAMA Augustino Tweve akipanda mti
 Bw. Kalongola akipanda mti kwa niaba  ya DED Makete
 Mhandisi wa Maji akisoma taarifa
 Kalongola akitoa neno 
 Mh Mtawa akitoa hotuna  yake kwa wananchi
 Wananchi wa Masisiwe wakisikiliza jambo

Wakielekea makwao


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo