Rais Magufuli akiwasili uwanja wa Ndege wa KIA kwa Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Machi 2, 2016.
Pichani, Rais Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mhe. Joshua Nassari(CHADEMA) aliyekuwa mmoja wa viongozi na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utofanyika jijini Arusha.