Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Makete
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Francis Namaumbo akizungumza kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh Egnatio Mtawa akizungumza kwenye kikao hicho
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akiwa na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Francis Chaula
Mkuu wa wilaya ya makete Daud Yassin akizungumza kwenye kikao hicho
Madiwani wakimsikikiliza mkuu wa mkoa