Taarifa zinadai kuwa mifugo
hiyo ilikula nusu ekari ya mazao ya mkulima mmoja kijijini hapo na
taarifa zikawafikia walinzi hao ambao walifika na kukatakata mifugo
hiyo mali ya mama mmoja mjane mfugaji wa jamii ya kimasai
Lakini Inadaiwa kuwa mifugo ya mama huyo haikuhusika kula mazao hayo bali ni mifugo ya mfugaji mwingine.
Waziri mwenye dhamana kupitia wizara ya mifugo na kilimo hivi sasa ameelekea eneo la tukio .

