Breaking news ya makontena mengine 11,884 bandarini leo hii hapa

Habari‬ za hivi punde:Makonta 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.

Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa. 

Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi

Chanzo: Startv

#Habari za hivi punde:Makonta 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4....
Posted by Habari Star TV Tanzania on Tuesday, December 29, 2015


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo