Samaki wa ajabu atikisa jiji la Dar es Salaam, Angalia picha hizi

Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakijipatia kitoweo na mafuta ya samaki mkubwa jamii ya nyangumi aliyeonekana Novemba 13 katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam. Wakazi hao waliofika katika eneo hilo huku wakiwa na vyombo vya kubebea mafuta ya samaki huyo. Mashuhuda hao walisema kuwa mafuta yake ni dawa ya watoto, hata hivyo wataalam wa afya hawakuweza kupatikana kuelezea usalama wa nyama ya samaki huo pamoja na mafuta yake.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay Zefrin Lubuva alizitaka mamlaka zinazohusika na afya kufika na kuthibitisha usalama wa kitoweo hicho kwa afya za wakazi hao.  (Picha na Francis Dande)

 Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakijipatia kitoweo na mafuta ya Samaki mkubwa jamii ya Nyangumi aliyeonekana Novemba 13 katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakijipatia kitoweo na mafuta ya Samaki mkubwa jamii ya Nyangumi aliyeonekana Novemba 13 katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo