Nyama ya ng'ombe katika maduka kadhaa ya kuuzia nyama hiyo eneo la Tandala wilaya ya Makete mkoani Njombe imepanda ghafla kutoa Ths. 6000 kwa kilo moja na kufikia sh. 7000 kwa kilo moja huku steki ikiuzwa 8000 kwa kilo moja
Jambo hilo limeonekana kulalamikiwa na wateja mbalimbali huku wamiliki wa mabucha hayo wakisema wamepandisha bei kutokana na soko la kuuza mifugo ng'ombe nazo zimepanda bei