Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa CCM nimekutana na maneno haya hapa chini:-
Leo Dkt @MagufuliJP amewapokea wanachama toka upinzani wakiongozwa na Mwenyekiti - Chadema Monduli, Japhet Sironga. pic.twitter.com/qkhCPHOYeY
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 6, 2015