Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbagala jijini Dar es Salaam amemtangaza Bw. Issa Mangungu kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu
Matokeo hayo yametangazwa baada ya sintofahamu ndefu iliyotokea katika jimbo hilo kikiwemo kuchomwa moto maboksi ya kura yakiwa na kura zilizopigwa tayari hali iliyosababisha matokeo hayo kuchelewa kutangazwa
Taarifa zaidi zitakujia kwa jinsi zinavyonifikia